We muongo tena unafanya makusudi kuboa watu hapa! Nijuavyo mie, mapenzi yeyote yakinoga, mtu unakua na furaha hata huwezi poteza mda kujibizana na watu! Anyway, kula raha maisha mafupi haya, ila kimya kimya bado nasisitiza.
hahahahaha KIBAMIA je kimekua ghafla?hela ya wine haitokaa iishe,pesa tunayoooooo,tumesoma hadi Permanent Head Damage tukatunukiwa,wewe form four for four years fighting for food,utaisoma