Mwenza

Mwenza

Punguza umri, nipo moro
Mungu ni mwema
Wakati tunaendelea na maadhimisho ya pasaka
Naomba kukutanishwa na mume sahihi wa maisha yangu
Awe mcha Mungu
Mkristo
Mpole
Mwerevu mwenye upendo na hekima
Mwenye uwezo wa kuwajibika na kutunza wa nyumbani kwake kifedha na kimawazo
Mtanashati
35 to 45
Awe tayar kupima HIV
Awe dsm .pwan au morogoro
Sihitaji usumbufu
Serious only pm



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom