Mwenza wa Maisha

Mkuu kila kheri,ila kuwa makini kuna mlevi aliniambia mwanamke wa sasa hivi usimuweke moyoni mweke hata mkononi.
 
Tuweke wazi hapa,
Unahitaji mwenye mtoto tu?
Kabila lako?
Umeajiliwa au umejiajili?
Uko tayari kupima afya?
 
Tuweke wazi hapa,
Unahitaji mwenye mtoto tu?
Kabila lako?
Umeajiliwa au umejiajili?
Uko tayari kupima afya?
Kuhusu mtoto nimeweka, kuhusu mengne karibu PM, Afya ni muhimu zaidi ya vyote
 
[mention]Vi rendra [/mention] akija huko usijibu mkuu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…