Mwenyezi Mungu umetuepusha na hili

Mwenyezi Mungu umetuepusha na hili

mswe58

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
50
Reaction score
19
Laiti ingekuwa ni dhambi tutajapo jina la Lowasa,nahisi watanzania wengi wetu tungekuwa ni kuni za kuchomea,mataifa mengine,nipe maono yako ktk hili.
 
Na wengi tungepeta mbinguni kwa sababu tunalichukia na kulikemea
 
Nchi imeshikwa na wafanyabiashara, mtanzania wa kawaida(sijui ndio yupi) hana lake.
 
Hatutaki kelele kelele,tuonane october 25
 
Back
Top Bottom