Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 116
- 85
Mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi
Haijaandikwa kwenye biblia
Mungu wa wanasiasa
Niyapongeze majeshi kwa kazi zao nzuri .
Kwa vile mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi naomba niyaombe majeshi yetu
Tuendelee kumtumainia mwenyezi mungu
Akitokea mwanasiasa atushurutishe
Mambo yaliyo kinyume na maandiko ya
Qur aan
Biblia
Ilani
Katiba
Kanuni
Miongozo
Taratibu
Na maelekezo chanya ya wakuu wetu
Sisi tumpatie elimu
Tumueleze
Mwenyezi mungu awezaye kuuwa miili na roho ndiye mkuu wetubYeye ametuamuru kuisimamia hakitu na kuipigania Na wala si vinginevyo