Mwenyekujua zilipo Luninga Hizi

Mwenyekujua zilipo Luninga Hizi

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
ni Muda sasa umepita kwa dish za kawaida tulikua tukipata ktk uelekeo wetu huu wa East kuku2mia Ku-Band na C-band.
sasa signal zipo, Picha hatupat.

Tbc
StarTv
Agape Tv
Tv Imaan
Kbc1
Nollywood
 
Majirani wako wanaotumia system kama ya kwako wanasemaje? Je nao wana tatizo km lako?
 
ni Muda sasa umepita kwa dish za kawaida tulikua tukipata ktk uelekeo wetu huu wa East kuku2mia Ku-Band na C-band.
sasa signal zipo, Picha hatupat.

Tbc
StarTv
Agape Tv
Tv Imaan
Kbc1
Nollywood

kweli kaka maana watu wanauliza maswali hayajitoshelezi,unashindwa wapi pa kuanzia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom