Mwenyekiti wangu ni muda wako sasa.

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,519
1,462
Habari wanajamvi....

Kutokana na hali ilivyo sasa ndani ya Chama tawala kuna kila sababu mwenyekiti wangu Mh MBOWe kuongeza kondoo ili tupate mbinu nyingi zaid kuelekea uchaguzi Mkuu 2020 Watu walikubeza sana kumleta Lowasa katika uchaguzi uliopitaaa 2015 kwenye nafasi ya Urais tukapiga kura Kura Million 8 kwa Million 6 kwa mujibu wa Tume isiyo huru ya uchaguzi hatimaye kutangazwa JOHN JOSEPH MAGUFULI kuwa mshindi kwa kura Million 8 dhidi ya LOWASA aliyepata kura million 6,

Hizi kura alizopata LOWASA ni kura nyingi sana kwa mgombea wa upinzani na hatimaye pia tukapata wabunge wengi wa upinzani bila shaka ukombozi umekaribia wananchi wamekuwa waelewa zaid kuliko miaka 10 iliyopitaa

Pambana ulete kondoo wengine kutoka upande wa pili bila shaka wameshaonesha nia ya kupingana na serikali yao na wew unawafahamu

Kazi kwako......
 
Kuna wanachama na wapiga kura.wewe unamshauri msanii Mbowe amuongeze nani hapo
 
Namkubali sana Kamanda Mbowe, anajua kusoma nyakati.......am sure huko alipo ubongo unafanya kazi jinsi ya kumshambulia Nduli Adui.........

Kabisa,hope Nape,msukuma,Bashe watakuwa on the way...

Post ya Nyalandu kwenye tweeter inaashiria mambo mengi sana ngoja tusubiri
 
Pamoja nayote hayo washughulikie katiba kama haiwezekani kupata mpya basi kipengele cha atakaetangazwa na tume ndiye yeye hakuna kwenda mahakamani kiruhusu mwenye malalamiko kwenda mahakamani na pili tupate tume huru ya uchaguzi. Bila hivyo lile goli la mkono litatawala.
 
Ni kweli,lkn sahv km naona vile watu/wananchi fahamu imewarud wameanza kuwa na akili pengine sina uhakika sana Tanzania kwa ujumla wake..
 
Back
Top Bottom