VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hovyoo! Mapenzi mazito kuliko hata Janeth mpaka unaonyesha ubwege mkubwa. Au wewe ni yule aliyetunukiwa nyumba za serikali wakati ule?Kamwambie Babako atubu kwanza kwa kukuzaa!
Hivi Leo mmepandikizwa matusi? Sasa Vuta Nikuvute kakukosea nini hapo? Si kamwambia Mr. Haambiliki asitubu maana yeye ni mtakatifu? Aendelee na ubabe tumsikie yeye, ikiwezekana asiruhusu TV kurusha habari ya MTU mwingine ila yeye tu.Kamwambie Babako atubu kwanza kwa kukuzaa!
Ha! Ha! Ha! Ha! Si nyie huwa mnadai kwamba wenzenu ndiyo mafundi wa kuporomosha matusi, imekuwaje tena!?Kamwambie Babako atubu kwanza kwa kukuzaa!
Naona sasa laana ishaanza kuwapata.....Kamwambie Babako atubu kwanza kwa kukuzaa!
Nashangaa wakati Magufuli anapenda kusema yeye ni Mpenzi wa Mungu kwa kuwa anasema kweli, mashabiki wake huwa hawaupendi ukweli unaosemwa na wengine. Hivi kutenda dhambi na kutubu lipi ni jambo jema mbele ya Mungu aliye hai?Naona sasa laana ishaanza kuwapata.....
Kwa jinsi mnavyoporomosha matusi, nadhani kutokana na ukaidi wenu wa kutotaka kutubu, naona sasa laana ishaanza kuwatafuna!
Hao watu wa Lumumba weshachanganyikiwa....Ha! Ha! Ha! Ha! Si nyie huwa mnadai kwamba wenzenu ndiyo mafundi wa kuporomosha matusi, imekuwaje tena!?
Askofu Zakary Kakobe mpuuze na hoja igeuze. Huna haja wala hoja ya kutubu kwa toba kwakuwa unatoa tiba kwa miiba ya Tanzania. Unatibu bila tabu yaliyokuwa majaribu mujarabu kwa watanzania. Usitubu!
Usijali. Tunakuombea na kukujibia. Tutamjibu kwa mbwembwe kuliko kunyoa kwa wembe hadi Askofu ajione mzembe. Tutampa majibu ya mbali na karibu hadi aulaumu utaratibu uliomsibu. Usitubu!
Jijenge, jitenge na waingize mkenge. Jifagilie, jiandalie na jifurahie. Ni wakati wako chamani na Serikalini. Kataza hata kwa kuliza fujo za hovyo za mikutano na kuhutubia kwa kujielezea. Huna haja ya kutubu!
Kula nanasi kunahitaji nafasi. Unayo nafasi bila kufosi ya kujinafasi bila wasiwasi na kutajwatajwa wewe tu. Hutubia, tumbua, kemea, kamatia, zingatia, puuzia, koromea na kagua. Ni wewe tu, usitubu!
Demokrasia huleta ghasia. Mikutano hubadili mtazamo. Giza husaidia. Giza hulinda na kuunda. Tuache bila mikutano wala mitazamo. Tukusikie na kukufuata wewe tu. Usitubu, usijipe tabu!
Mambo ya expansion joints hayo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (mapumzikoni Nairobi,Kenya)
hujamwelewa mtoa mada bila shaka.Ushauri huu ni wa kikarumanzira.
Hivi unaambiwa utubu wewe kama shetani unasema asitubu?
Hizi akili sio hata za mbayuayu ni za bundi aiseh
Kama ni jambo ambalo huwa analifanya hii taharuki inayoonekana toka kwa wana CCM inatoka wapi tena. Jee huwa anatubu kwa hayo yaliyohainishwa na Askofu Kakobe?Kwa hiyo Kakobe amemshauri Raisi afanye kitu ambacho kimsingi huwa anakifanya... Ushauri wa Kakobe ni mzuri lakini umekuja kwa kuchelewa.
Kamshurutisha ama kampa angalizo? Hakuna shurti isiyo na masharti na adhabu!!Hivi kutubu mpaka ushurutishwe...? kakobe naye akili zimeanza kumruka...apleke stress zake huko..