Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 846
- 1,612
Maoni ya wajumbe mbalimbali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akijibu kuhusu swali la wajumbe kuwa vigeugeu Mary Komba, Mwenyekiti wa UWT Tawi la Biyuda, Kinondoni amesema "Ni kweli wajumbe tunakuwa vigeugeu na tunatamani kubalika na wajumbe mwaka huu tusiangalie pesa tuangalie maendeleo"
Pia Soma: Mary Chatanda (UWT) awataka Wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi 2025
Pia Soma: Mary Chatanda (UWT) awataka Wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi 2025