PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mara, Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja

PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mara, Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara Mary Daniel amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya Umoja huo badala yake wao wawe sehemu ya kutetea na kusaidia wanapohitajika ili kujijengea heshima Wakati wote.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mary ametoa kauli hiyo Wakati akizungumza na Vijana katika Wilaya ya Tarime Mkoani mara Wakati wakuhitimisha ziara Yake ya Kusikiliza za nakutatua kero mbalimbali kwenye Mkoa huo.

 
Back
Top Bottom