GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, Polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa

GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, Polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Kizungumza kupitia Clouds TV, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa.”

 
Nukuu nilizoziona kutoka kwenye hayo mahojiano ya leo ya huyo jamaa,unaona kabisa yupo hapo kupiga tu kampeni za chama chake!!

BTW: Mwenzake Bwana Manyerere J aliamua kuvua kinyago akala za uso kura za maoni huko kwao na hajarudi tena round hii.
 
"Polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa" Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)


 
Hawashushi wagombea kwenye majukwaa baada ya kuwakaba mahakamani? Au anamaana gani tofauti.
 
Back
Top Bottom