Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amedai kuwa Kampeni za uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 zimejaa hoja;
"Nimeshuhudia kampeni za miaka mingi lakini kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi lakini mazingira yamebadilika watu wana Smart phone na bahati mbaya hizi (simu) hazituonyeshi uchochoroni zinatuonyesha katikati ya Mji.
"Mtu akiona London pale katikati na New York pale katikati. Akaona Johannesburg katikati anasahau kwamba ukitoka kilometa kumi kuna shida sehemu nyingine kwahiyo watu wanataka kuishi maisha ya smartphone.
"Nimeona kuna mwingine anasema kampeni zimekuwa kama shopping list kwamba atafanya hivi au vile. Nikasema inawezekana kuna shida mahali kwamba watu hawajui kwamba hiki ndio kipindi cha kutoa ahadi ambazo tutakubana nazo baada ya kushinda uchaguzi kwamba aliahidi atajenga barabara ya Kitunda iko wapi?
"Sasa alipoahidi mtu anasema aeleze utekelezaji! Hiki ni kipindi halisi na sahihi kwa ajili ya kuahidi"
Soma > Mwenyekiti wa TEF, Balile: Watu mtandaoni wanajizima data au sijui hamnazo? Tanzania kuna maendeleo hadi vjijini