josias
Member
- Jan 7, 2014
- 48
- 35
Ninapenda kuwashukuru sana na kwa moyo mweupe aliyekua Makamu wa Rais Bi Hadija Maarufu, Waziri Mkuu NDG. Swalehe Amri Lonka, Katibu Mkuu NDG. Chota Peter na Ofisi ya Bunge ikiongozwa na Spika wa Bunge ndugu Allen Yusto Mafuruki pamoja na Baraza zima la mawaziri LA Serikali inayomaliza mda wake na wabunge wote KWA namna ya pekee walivyoshughurika na suala hili.
Pia niishukuru Serikali mpya inayoongozwa na Mh. Rais ndg. Charles Robert kwa umakini wao mkubwa katika kufuatilia JUU ya suala hili. Siwezi kusahau MCHANGO wa Ofisi ya Bunge inayoongozwa na Shee Hassan Mtenzi na naibu Spika Emmanuel Amos pamoja na wabunge makini kama Verius Ndaboine ambao wamefuatilia kwa kiwango chake JUU ya suala hili.
Baada ya Mimi kufungua shtaka LA kughushiwa sahihi kuidhinisha wizi wa PESA niliendelea kufuatilia KWA kina JUU ya suala hili kwa u karibu mkubwa sana.
Nilipeleka barua yenye maazimio ya Baraza lililo maliza mda wake kwa Dean of student mr. Manongi D. Kupitia kwa kaimu mshauri wa wanafunzi mr. Mpogole ambao walianza Mara moja kuyafanyia kazi. Wakati huo huo viongozi wengine wastaafu waliendelea kuwasiliana na Principal wa Chuo cha Elimu Prof. Kabigumira ambaye alishtushwa na kusikitishwa na ubadhilifu uliofanyika hivyo aka ahidi kulifanyia kazi kwa kina.
Wakati huo huo Baraza LA mawaziri jipya nalo lilikaa kwa dharula chini ya uongozi wa ndg. Charles Robert na kutoka na maazimio yake ambayo pia yaliandikiwa taarifa maalumu ili kuwasilishwa KWA Dean of students na principal wa Education.
Wakati huo huo Bunge la Chuo cha Elimu likiongozwa na Spika wa Bunge NDG. Shee Hassan pamoja na ndg. Emmanuel Amos lilikaa kikao cha Dharula na kutoka pia na maazimio yao kama Bunge. Maazimio hayo pia yatapelekwa ofisi ya Dean na principal wa Education.
Leo ijumaa tar 3/07 /2015 maazimio yote yanatarajiwa kufikishwa kwa principal ili yashugurikiwe Mara moja.
IMaazimio yote yanalenga kuhakikisha PESA inarudishwa.
Hivyo basi ndg. Allen Yusto na viongozi wa Serikali iliyopita watawasilisha taarifa rasmi KWA principal asubuhi ya Leo kwa niaba ya Serikali iliyomaliza mda wake.
Kwa ufupi suala linaenda vema maana kuna hatihati ya NDG. John Fransisco Nzilanyingi kuzuiliwa vyeti vyake vya taaruma hadi atakapilipa PESA hiyo ili kuleta picha halisi ya uwajibishwaji.
Kwa kifupi suala hili tutalifuatilia na kulisimamia hadi mwisho na tutatoa majibu ya wapi tumefikia na tutawaanika wazi wale wote watakao jaribu kukwamisha mchakato huu.
Ahsanteni sana
Charles Josias
Katibu Mkuu Shirikisho LA Chuo kikuu UDOM.