Suala hapa sio kuongoza vizuri!Ni uhalali wa Phd yake!
Prove kama ana Phd toka Warwick!
Best PHD yoyote ni ya Philosophy ila katika michanganuo tofauti. Doctor of Philosophy in........!Kama sijakosea ni Phd ya philosophy from Warwick university
'JOHN LUSINGU naye anajisifu ana PHD lakini kutokana na uchambuzi wake wa hoja its quite clear to me itakuwa ni PHD ya VISION COLLEGE ya yule mchungaji IRUNGU kwani niliwahi kumuuliza kuhusu mambo ya kugombea ukatibu wa jumuia ya TA kwenye Uchaguzi nkajua tu kuwa hamna kitu mle pamoja na kuwa PHD student. Na hata kama akiipata hiyo PHD basi its more likely to be a MICKEY MOUSE PHD than anything else'
Katika kusearch nimegundua kuna mtu aliandika hapa JF kuhusu Bw JOHN LUSINGU wakati wakimjadili ex Daruso Bwana OWINO.
Sitazungumzia controversial deals za huyu John Lusingu na swaiba wake Owino hasa kuhusu the charity yao !Nia yangu ni kujua ukweli kuhusu elimu ya huyu Bwana Lusingu,maana anawakilisha Watz Uk,sio mambumbu kama wananchi wa Nchimbi au Kamala.
Tanzania sasa tuna matatizo ya hizi Phd fake.Sasa hivi tuna wabunge EALA 2 wenye Phd feki.Baraza la mawaziri usiseme.
Huu upuuzi usifike London.
Kuna post hapa mtu amesema kuwa Lusingu ana Phd toka Warwick.Ni chuo kizuri na top class.Lakini vilevile kuna watu wanajua
amesomea pale VISION college cha Mtanzania anaitwa IRUNGU mtu wa huko mkoa wa Mara ambaye yuko UK siku nyingi.Chuo chake kiko hapa Stratford.Naye anajiita DR siku hizi,i dont know Phd yake ni ya wapi,maana kwenye website yake hasemi.
Kama wewe Dr Lusingu ,au unayemfahamu vizuri,tuambie facts ili majungu na uongo uishie hapa.Hatutakubali kuwa Chairman wa TA UK,wakati elimu yako ni ya utatanishi.
Jamani mwageni details hapa,ili tusiwe wababaishaji na uswahili uishie bongo
We "Mmakonde, kwani kuwa na nafasi ya Uwenyekiti wa TA - UK/CCM - UK ni lazima uwe na PhD? hii inaonyesha ufinyu wa fikra zako/fikra potovu, kama majibu unayo/umeyapata kutoka kwa wanaomfahamu Dr. John Lusingu si uyaseme ama umayapata kwa huyo mchungaji wako IRUNGU" pia umesema ulishawahi kumuuliza Dr. Lusingu hapo awali, kwa nini usiwasiliane naye tena kama desturi yenu.
Nimesoma article zako nyingi hapa jamvini na nimegundua kuwa you are too personal kwa baadhi ya viongozi wa TA - UK na CCM - UK, I won't be surprise that you are among them (unawakumbuka akina Samvulachole na Mzee Kifimbo?)
Perhaps tuko wote kupinga huu ujinga wa chama tawala unaovuka mipaka na kuwa na matawi UK.Sijiu nia yako ni nini,unaonekana ni maverick ,uko huku na huko.
I dont know about Samvulachole na Mzee kifimbo.Hebu nifahamishe.
Waswahili mna tabu nyie, jamaa kisa anakula mzigo asda na alisoma Vision basi mnaona hawezi pata PHD toka warwick!!! Nyie wabeba maboksi mna tabu, shule hamuendi kazi kutawaza bibi vizee tu na kuwakandia wenzenu
Waswahili mna tabu nyie, jamaa kisa anakula mzigo asda na alisoma Vision basi mnaona hawezi pata PHD toka warwick!!! Nyie wabeba maboksi mna tabu, shule hamuendi kazi kutawaza bibi vizee tu na kuwakandia wenzenu
Asante Kitila Mkumbo, I also knows the Guy, he is for real. Nilisoma nae Ilboru miaka ile, alikuwa ni mmoja wa vingozi wa ukweli, jamaa ana msimamo uliosimama kiukweli. Pia jamaa ni Msabato wa ukweli na Mtanzania halisi. Mara ya mwisho nimeonana nae Dodoma mwaka jana alipokuja likizo.I know the guy very well. His PhD is really. Na nafikiri wamepatia kumchagua. Hajakaa kikadakada kama mdogo wangu Owino, labda wamharibu sasa hivi!!
Unauhakika anafanya ASDA?If so ,ndio Phd ambazo Mzungu hatakupa kazi uliyosomea.Lakini surely angakuwa na Phd ya any science angeweza kufundisha au kupata kazi ya maana.May be Uenyekiti TA unampa ahueni ya moyo,maana kufanya kazi ASDA na una Phd,that is shocking
Unauhakika anafanya ASDA?If so ,ndio Phd ambazo Mzungu hatakupa kazi uliyosomea.Lakini surely angakuwa na Phd ya any science angeweza kufundisha au kupata kazi ya maana.May be Uenyekiti TA unampa ahueni ya moyo,maana kufanya kazi ASDA na una Phd,that is shocking