Mwenyekiti wa TA UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa TA UK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Apr 8, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wakati JF iko mitamboni,DR JOHN LUSINGU alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TA UK.
  Kwa wadau mnaomfahamu,tupeti CV yake ,je ni Dr wa binadamu au ana doctorate toka wapi.

  Thanks
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Not Medical...PhD from Warwick University.
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Phd ya nini toka Warwick?
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  'JOHN LUSINGU naye anajisifu ana PHD lakini kutokana na uchambuzi wake wa hoja its quite clear to me itakuwa ni PHD ya VISION COLLEGE ya yule mchungaji IRUNGU kwani niliwahi kumuuliza kuhusu mambo ya kugombea ukatibu wa jumuia ya TA kwenye Uchaguzi nkajua tu kuwa hamna kitu mle pamoja na kuwa PHD student. Na hata kama akiipata hiyo PHD basi its more likely to be a MICKEY MOUSE PHD than anything else'

  Katika kusearch nimegundua kuna mtu aliandika hapa JF kuhusu Bw JOHN LUSINGU wakati wakimjadili ex Daruso Bwana OWINO.
  Sitazungumzia controversial deals za huyu John Lusingu na swaiba wake Owino hasa kuhusu the charity yao !Nia yangu ni kujua ukweli kuhusu elimu ya huyu Bwana Lusingu,maana anawakilisha Watz Uk,sio mambumbu kama wananchi wa Nchimbi au Kamala.

  Tanzania sasa tuna matatizo ya hizi Phd fake.Sasa hivi tuna wabunge EALA 2 wenye Phd feki.Baraza la mawaziri usiseme.
  Huu upuuzi usifike London.

  Kuna post hapa mtu amesema kuwa Lusingu ana Phd toka Warwick.Ni chuo kizuri na top class.Lakini vilevile kuna watu wanajua
  amesomea pale VISION college cha Mtanzania anaitwa IRUNGU mtu wa huko mkoa wa Mara ambaye yuko UK siku nyingi.Chuo chake kiko hapa Stratford.Naye anajiita DR siku hizi,i dont know Phd yake ni ya wapi,maana kwenye website yake hasemi.

  Kama wewe Dr Lusingu ,au unayemfahamu vizuri,tuambie facts ili majungu na uongo uishie hapa.Hatutakubali kuwa Chairman wa TA UK,wakati elimu yako ni ya utatanishi.
  Jamani mwageni details hapa,ili tusiwe wababaishaji na uswahili uishie bongo


   
 6. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Kama sijakosea ni Phd ya philosophy from Warwick university...Kwanini ukumwuliza wakati ulikuwa unaongea naye?
   
 7. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Bravo Mkuu Dr. John Lusingu, hili taifa tunahitaji sana watu kama wewe wenye uwezo wa kuongoza, tupo pamoja sana.

  Respect.


  FMEs!
   
 8. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Babu,kama kweli ana Phd toka warwick,it good!Je umeprove?Vipi hapo Vision college?
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Suala hapa sio kuongoza vizuri!Ni uhalali wa Phd yake!
  Prove kama ana Phd toka Warwick!
   
 10. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mmakonde,

  Mbona unakuwa kama umelazimishwa kuandika humu...au umekosa kazi ya kufanya?

  Uthibitishiwe kuwa PhD ni ya Warwick University wewe ukiwa kama nani? Au unaona wengine humu jamvini hatunazo kichwani ila wewe tu ndio mwerevu kifimbo cheza?
   
 11. AlMusoma

  AlMusoma Member

  #11
  Apr 9, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nafikiri hili sana ni suala la waliomchagua. Sehemu muafaka ya kujadili masuala haya ilikuwa kwenye vikao vya kampeni kabla ya uchaguzi. Kwa sasa nafikiri ni muhimu kusubiri PhD ya mgombea anayefuata. Samahani kama nimekosea, ni maoni binafsi...
   
 12. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Sina tatizo nayo.
   
 13. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #13
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  I know the guy very well. His PhD is really. Na nafikiri wamepatia kumchagua. Hajakaa kikadakada kama mdogo wangu Owino, labda wamharibu sasa hivi!!
   
 14. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #14
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, mbona wewe mwenyewe umeshindwa kupanga hoja yako vizuri? ..... pamoja na phd yako toka ivy league school
   
 15. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Si unajua watu siku hizi wana fake Phd!Unaweza kudanganya bongo,lakini Ulaya ni too much.
  Wewe umesema anayo ya Warwick fine.Lakini kuna post ambayo nimenukua hapo juu inasema alikuwa anasoma Vision college ya 'Dr' Irungu.
  Kumbuka mtu ukiamua kuwa kiongozi ,ukubali kuwa jamii unayowakilisha wana haki ya kuhoji.

  Usijaribu ku shut debate,maana huyu bwana anahold nafasi muhimu kama representative.Tuambie lini alimaliza Warwick na Supervisor wakke alikuwa nani.
   
 16. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Aha,sio swala la mimi ni nani!Nafikiri akina Masaburi,Nchimbi na wengineo wenye Phd fake wana haki ya kusema kama wewe.
  Kuna watu wanasema huyu Bw Lusingu alikuwa vision college ya "DR" Irungu pengine Phd yake ya pale.Tunajua hicho chuo hapo Stratford,London.

  Bwana Lusingu anawakilisha watu wengi wereve UK,sio kama Wabunge wa Tanzania ,wanapeta tu maana huko kijijini watu wengi ni mbumbumbu.
  Huyu Lusingu ameamua kuwa Kiongozi ,kwa hiyo watu wana haki ya kumuuliza CV yake vizuri,Unajua nchi yeti imekuwa tarnished na fake Phd kama za akina NCHIMBI,
  tuna ufisadi wa elimu ambao hatutakiwa uende UK.

  Bw Lusingu awe clean ,aseme Phd yake alimaliza lini,kama alisoma Warwick kama ulivyosema nani alikuwa supervisor wake.Hii sio big deal,maana UK ukiandika kuwa wewe una Phd,Supervisor wako lazima ajulikane.
   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  OK Mzee!
   
 18. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ina maana wewe tiari ushakuwa mdhungu au huna hata haja ya kurudi bongo, binafsi sina tatizo na PhD yake wewe ndiye unatakiwa kutuletea details zake alianza lini.
   
 19. k

  kitimotoz New Member

  #19
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamati ya TA Mwaka huu ina vichwa vyote,

  Unaweza ukapewa details za member mmoja mmoja kwenye kamati

  As to your question and non sense speculative motives , nitaka nikwambie kwamba bwana John Lusingu
  ni PHD Holder from warwick:

  John Lusingu (Tony Bush) – Decentralisation in Tanzania: Impact on Rural Primary Schools

  Huyo kwenye mabano ndio supervisor

  http://www2.warwick.ac.uk/fac/soc/wie/research-new/leadership/phdstudents
   
 20. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Thanks,
  Matter closed!heshima yake Ndg Lusingu.
   
Loading...