hassan kisabya
Senior Member
- Jun 14, 2014
- 165
- 109
Mwanasiasa mgongwe hapa nchini Mhe Augustino MREMA akiongea ktk kipindi maalum cha Radio UFM (ya Azm Tv),kuhusu hali ya SIASA, majukumu yake ya Parole, changamoto na USHAURI wake kwa serikali kuhusu hali ya wafungwa nchini na mchakato wa kuwatoa wafungwa walio katika HATUA ZA kisheria za Parole ,amemuomba Mhe Rais Dr John Magufuli kumwezesha atimize jukumu hilo pia amewaomba WATANZANIA kuchangia kazi hiyo ili KUWEKA mazingira mazuri ktk magereza yetu.
Mhe MREMA ameukumbusha umma kuwa kila mtu ni mfungwa mtarajiwa na serikali haiwezi kufanya mambo yote,hivyo WATANZANIA wakiwa na utamaduni wa kuyasaidia magereza yetu ITASAIDIA kupata ANGALAU virago kwa ajili ya wafungwa.Aliongeza kuwa ,UTARATIBU wa Parole ni mchakato unaohitaji Gharama hivyo bodi yake inajitahidi kupata fedha ili KUFANIKISHA majukumu yao.
Mhe MREMA amesema, katika WAZALENDO wa nchi hii yeye ni MMOJA wao KWANI anafanya kazi hiyo PASIPO kujali mshahara ama posho yoyote,pia alitumia nafasi hiyo kumuomba radhi Rais mstaafu wa AWAMU ya tatu Mhe Benjamini William Mkapa kwa makosa aliyowahi kumfanyia ktk kipindi Chake kwa kumsingizia kuwa aliiba Tshs 900m, atasema ule ulikuwa ni mpango wa makusudi ingawa walipoenda mahakamani alishinda kwa technicality tu.Mhe MREMA ameuambia umma kuwa anashangaa sana alipoenda ktk siku ya kumbukumbu ya Mwl NYERERE alisema maneno MAZITO yakiwemo Haya ila hakuna chombo kilichoandika.
Mhe mrema amewashauri baadhi ya viongozi waliomaliza muda wao kutumia nafasi zao as HESHIMA kushauri vyema na sio kuuzodoa utawala wa mwenzao.
Akasema unasema mazuri hauandikwi lakini ukimtukana Rais utaandikwa.
(Hii nimeipata asubuh hii)
sikiliza clips zake!