Siku zote mikutano ya chadema watu nyomi.kura zikihesabiwa aibu
Kwa Wasira unaota ndoto za mchana bila kusinziaTeam ukawa,wassira ajitathmini mapema kabla ya nguvu ya umma haijamtoa kwa mapambano yasiyo na mwisho
Kwa Wasira unaota ndoto za mchana bila kusinzia
Kwa Wasira unaota ndoto za mchana bila kusinzia
Safari hii watu wanalinda kura zaidi ya mtu anavyolinda mke
Safari hii watu wanalinda kura zaidi ya mtu anavyolinda mke
Teh!? Nimeipenda hii kauli mbiu.
Ccm hawakautemea upinzani wa ghafla Mara
Ester Bulaya anafahamika Bunda Mjini tu. Hajulikani Bunda vijijini na ana kazi kubwa sana ya kuwafanya wana Bunda wa maeneo mengine ya Bunda wamfahamu,namshauri aende viti maalum kuliko akijirengesha kwenye jimbo either kwa upinzani au kwa chama chake,alitakiwa apate support ya Wasira kuliko anayompinga.Wassira hana chake mitaa chadema inamnyoosha na ubunge ester bulaya anamnyoosha
Hivi kwenye uchaguzi wa udiwani kata ya Nyasura nani aliibuka kidedea? Vincent haiwezi Bunda - ataishia kipata umati wa watu Bunda Mjini na Tarime tu.Kamanda hachagui kichaka cha kupigania yeye kichaka chochote anavamia na anashinda vita
Sijawahi kuona ccm wanakodi helicopter wiki mbili Wilaya moja lakini, bado muziki mzito
Ester Bulaya anafahamika Bunda Mjini tu. Hajulikani Bunda vijijini na ana kazi kubwa sana ya kuwafanya wana Bunda wa maeneo mengine ya Bunda wamfahamu,namshauri aende viti maalum kuliko akijirengesha kwenye jimbo either kwa upinzani au kwa chama chake,alitakiwa apate support ya Wasira kuliko anayompinga.
Hivi kwenye uchaguzi wa udiwani kata ya Nyasura nani aliibuka kidedea? Vincent haiwezi Bunda - ataishia kipata umati wa watu Bunda Mjini na Tarime tu.
Ester Bulaya anafahamika Bunda Mjini tu. Hajulikani Bunda vijijini na ana kazi kubwa sana ya kuwafanya wana Bunda wa maeneo mengine ya Bunda wamfahamu,namshauri aende viti maailum kuliko akijirengesha kwenye jimbo either kwa upinzani au kwa chama chake,alitakiwa apate support ya Wasira kuliko anayompinga.
Hivi kwenye uchaguzi wa udiwani kata ya Nyasura nani aliibuka kidedea? Vincent haiwezi Bunda - ataishia kipata umati wa watu Bunda Mjini na Tarime tu.
Ester ana siasa za TV sio field kama wenzake, aende vijijiniEster Bulaya ni mtu mmoja hatari sana ambaye wassira akimsikia huwa anatetemeka kama kapigwa shoti,ester bulaya ananitandikia huyu mtu mapema