The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Pesa na vyeo vitoke ccm ambako jk ni mwenyekiti sio serikalini hivyo jk anaweza fanya bila maguHata Marekani wanaotoa mchango mkubwa wa Ushindi kwenye kampeni hukumbukwa kwenye kuunda serikali.
Wewe unafikiri vita ya Propaganda kama siyo wale vijana kusimama kidete kwenye mitandao shaping ya opinion ingetawaliwa na nani?
JK ni muungwana sana, ndiyo maana anatambua michango ya watu waliokifikisha chama kushinda, anaona ni watu wanaofaa kukumbukwa.
Ifahamike, Serikali iloyoko madarakani inaongozwa na Magufuli lakini siyo ya Magufuli, Ni serikali ya CCM, Ilani ya Uchaguzi ya CCM , CCM ambayo mwenyekiti wake ni Jakaya Mrisho Kikwete.
We kweli Gamba!!!
Ukiwsmwanachama wa chama fulani ni wajibu wako kukipigania chama kishinde katika chaguzi na jambo lolote lile bila kuhitaji hisani yoyote,maana ni wajibu wako.
Hata hivyo hivyo huo uungwana wa Jk unaousemea umetufikisha wapi kama taifa?
Kwa nini wasimfukuze? Miaka kumi aliyokaa hakutosheka? Au anatamani kumrimoti magu?JK mzee mswahili kweli hana aibu kila siku kiguu na njia IKULU kuwapigia watu mapande kwa jpm , AKOME AKAE ZAKE MSOGA tumemchoka jamani
Ngekewa ndo kila kituJK na ccm, huyu jamaa alipata urais kama ngekewa, hakustahili kuwa rais
Muwe na uhakika kama kilichompeleka IKULU ni hicho, Na sidhani kama kuna ubaya hao walokipigania chama wakaalikwa siku moja nakuambiwa ASANTE na muheshimiwa Rais , huo ndo ubinadamu au mna wasiwasi JK ameenda kumwambia awape Vyeo?? hizi ni Tetesi au ni habari imetoka kwenye vyombo vya habari.JK mzee mswahili kweli hana aibu kila siku kiguu na njia IKULU kuwapigia watu mapande kwa jpm , AKOME AKAE ZAKE MSOGA tumemchoka jamani
mkuu walishaitwa ikulu mbona na kufanya nao mazungumzohao vijana wataisoma namba..
sasahivi wanalia hawajalipwa na ikulu fiesta za uchaguzi.