Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza Kikao cha Kamati kuu CCM kesho Jumanne Tarehe 22/06/2022

Nina Imani pia watajadilia watumishi wa umma walio tia Nia kugombea ubunge mwaka 2020 na kukosa nafasi hizo nchi nzima. Watumishi hao,walikatwa mishahara ya miezi mitatu,walikatwa pesheni zao, walikichagia chama, na wanazo sifa za kukitumikia chama, hivyo kwenye teuzi za MaDAS na maDED wakumbukwe. Wapo wengi nchi nzima. Na kila Jimbo na wengi wao ni akina mama walio onyesha Nia ya kuweza kudhubutu .
 
Kwanza hao kurudishwa kwenye utumishi ilikuwa huruma, walipaswa kustaafishwa mazima
 
Kwa mtindo huu wa kuijadili Sisiemu day in and day out, huku mkisahau kujijenga kichama, basi Sisiemu imefanikiwa sana kuwabomoa na kuwapoteza kwenye ramani hadi mmepoteana. Aliyesema hadi 2020 hamtakuwepo, aliona mbali sana.
Kwa hiyo wapinzani hawapo kwasasa?
 
Raisi Samia alitumie Rungu alilopewa ili kuwatokomeza Mataga wote ambao bado wako kwenye System.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…