Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria.
Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa mgongo wake.
Kwasababu ya upole upole na kupuuza mambo Rais Samia sasa ni kama pambo tu CCM ndiyo ukweli .
Polepole anasema vitu ambavyo hata yeye alikuwa hafahamu