Mwenyekiti wa CCM Arusha unasubiri nini?

Mwenyekiti wa CCM Arusha unasubiri nini?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Najiuliza ni nini kilichomfanya mwenyekiti huyu kusubiri mpaka sasa baada ya EL kukatwa?
 
watanzania ni wanafiki sana mbona auhulizi Pasco anasubiri nini na co wenzake wa radio ya mawimbi walijinasibu wapo upande wa mzee EL ... mzee akichukua maamuzi magumu utaona mikia yake inavyounga msururu..... wakati mwingine akili za watanzania nizakipekee
 
Last edited by a moderator:
Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
 
Lowassa kawapoteza sana ..yeye keshaachana na siasa lakini nyinyi mnawaka chini kama pasi
 
Karibu ukawa maana mtakuwa mmesamehewa dhambi zenu zotee
 
Najiuliza ni nini kilichomfanya mwenyekiti huyu kusubiri mpaka sasa baada ya EL kukatwa?

Ahame kwa sababu gani? kuhama ni demokrasia ya mtu si shinikizo kutoka kwa yeyote.
Nawashangaa watu wengine Lowasa ambaye kakatwa jina hajahama watu wengine mashabiki tu ndio wanahama na kushinikiza wengine wahame.Wao wana uchungu kuliko mwenyewe aliyekatwa?

Hao waliohama yalikuwa mapandikizi ya CHADEMA ndani ya CCM.Ukitaka kujua panya shimo lake liko wapi mkimbize au mtie mishe mishe atarudi kwenye shimo lake mbio alikotokea.Hao waliohama Wanarudi kwenye mashimo yao.
 
Hahahaaaaaaa you make my day
 
Ahame kwa sababu gani? kuhama ni demokrasia ya mtu si shinikizo kutoka kwa yeyote.Nawashangaa watu wengine Lowasa ambaye kakatwa jina hajahama watu wengine mashabiki tu ndio wanahama na kushinikiza wengine wahame.Wao wana uchungu kuliko mwenyewe aliyekatwa?Hao waliohama yalikuwa mapandikizi ya CHADEMA ndani ya CCM.Ukitaka kujua panya shimo lake liko wapi mkimbize au mtie mishe mishe atarudi kwenye shimo lake mbio alikotokea.Hao waliohama Wanarudi kwenye mashimo yao.
Kwani mnadhani atawaumiza wapi zaidi akiwa ndani au nje?
 
najiuliza ni nini kilichomfanya mwenyekiti huyu kusubiri mpaka sasa baada ya el kukatwa?

mwendelezo wa siasa zenu za ukabila na ukanda,nendeni wote kwenye saccoss ya kanda yenu,maana mpango wenu tayari umeishakamilika sisi tunawaangalia tu,
 
Lowassa mwenyewe anasubiri muda ufike atangaze rasmi.sasa hivi yupo Monduli anachochea kuni tu.
 
kwani mnadhani atawaumiza wapi zaidi akiwa ndani au nje?

kinachonifurahisha ni kuona wafasi wa cdm wanakula matapishi yao ya mwembeyanga,siasa na wanasiasa wa tz ni mavuvuzera wa siasa maji taka,
 
kinachonifurahisha ni kuona wafasi wa cdm wanakula matapishi yao ya mwembeyanga,siasa na wanasiasa wa tz ni mavuvuzera wa siasa maji taka,
Haha...unachekesha kweli wewe gamba...unashangaaa tukitumia nyoka aisye na meno kummeza mwenye meno?Utashangaa sana kusikia magugu yanatumika kuua magugu mengine.
 
Haha...unachekesha kweli wewe gamba...unashangaaa tukitumia nyoka aisye na meno kummeza mwenye meno?Utashangaa sana kusikia magugu yanatumika kuua magugu mengine.

We kibaka unajichekesha nini? Magamba yote yashaamia kwa mpiga dili Dj na mkwewe E.Mtei..upo hapo??
 
kwanini aondoke haraka na muda wengi wanaondoka..anasubiri muda wake apige bao.Sasa hivi booking z akuondoka zimejaa.
 
mwendelezo wa siasa zenu za ukabila na ukanda,nendeni wote kwenye saccoss ya kanda yenu,maana mpango wenu tayari umeishakamilika sisi tunawaangalia tu,

Ha ha ha!,Lembeli ni wa kanda ipi? Acha propaganda za kizamani.tafuta Mpya.iyo ime expire
 
Back
Top Bottom