kiwa amevalia mavazi ya CCM kwenye mikutano ya CHADEMA jana, iliyofanyika katika vijiji tofauti vya Kamugegi na Kyawazaru, Magwaiga ambaye alijivua cheo cha uenyekiti na uanachama wa kawaida, alisema CCM imepoteza dira na mwalekeo kwa kumteua tena Kisuka kuwania nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka minne kutokana na fedha zake.
"Huyu mtu hakubaliki hata kidogo, lakini amepitishwa kutokana na fedha zake, CCM imepoteza mwelekeo…siwezi kuendelea kubaki kwenye chama hiki hata kwa dawa," alisema Magwaiga.
Tushakuzoea weweanother political prostitution... angekua chadema kaham ungesikia maneno... njaa inatuua
kuvua kidagaaa imekua sewe kuna wagombea ubunge chadema wamekimbia
japo mliwaita malaya. wamehongwa na mengine
huyu na yy mnajuaje kama si njaa au chuki zake binafsi?
hao mnaoendelea kumdanganya zuzu wenu kwa kumpa kadi za wanachama feki wa upinzani waliohamia CCMTangu kampeni zianze... i could conclude that transfer window net effect CCM ina positive.
kwanza ni shangwe kubwa mwenye dhambi mmoja anapotubu.
Pili ni ujasiri mkubwa mtu kuihama ccm inayofuatilia maisha ya watu kila siku na kuhakikisha kuwa wanahujumu shughuli zao za kila siku pale wanapoonekana kukikataa chama hicho au hata kukipinga tu.
Karibu kamanda katika mchakato.
Kwanza ni shangwe kubwa mwenye dhambi mmoja anapotubu.
Pili ni ujasiri mkubwa mtu kuihama CCM inayofuatilia maisha ya watu kila siku na kuhakikisha kuwa wanahujumu shughuli zao za kila siku pale wanapoonekana kukikataa chama hicho au hata kukipinga tu.
Karibu kamanda katika mchakato.