1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 6,260
- 7,936
sasa huyu ana wadhifa gani hapa kwetu?
hawa si ndio wametufanyia figisu kwenye bombardiee?
Hawa si ndio ma ACACIA
yaani tunahitaji kujitambua. wazee walitafuta uhuru na
Ba=vichaa wanapigania utumwa mamboleo.
yaani mmekaa kinafikinafiki tu huyu ametweet kama personal viewer na apeleke uhindi wake huko india ambako ni origin yake.
Na akemee ubaguzi wa wahindi dhidi ya waafrika wasomao na kuishi huko maana nao wanauwawa mitaani kama kuku.
mbona hatujawasikia kukemea.