Mwenyekiti wa Canada Bunge la jumuiya ya Madola ashtushwa kupigwa risasi Lissu, amtaka Magufuli kukomesha uhalifu

sasa huyu ana wadhifa gani hapa kwetu?
hawa si ndio wametufanyia figisu kwenye bombardiee?
Hawa si ndio ma ACACIA

yaani tunahitaji kujitambua. wazee walitafuta uhuru na

Ba=vichaa wanapigania utumwa mamboleo.
yaani mmekaa kinafikinafiki tu huyu ametweet kama personal viewer na apeleke uhindi wake huko india ambako ni origin yake.
Na akemee ubaguzi wa wahindi dhidi ya waafrika wasomao na kuishi huko maana nao wanauwawa mitaani kama kuku.
mbona hatujawasikia kukemea.
 
Kumekucha.......

Sasa Jumuiya ya kimataifa ishaanza kuingilia uvunjaji wa haki za binadamu nchini

Imeanza nchi ya Canada kumwambia Magu aache kutawala "kimabavu" ngoja tusubiri na hao wengine watafuata.........
 
Mwenyekiti wa Wabunge wa Canada kwenye Bunge la Jumuiya ya Madola amesema kuwa ameshtushwa shambulio la la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Tundu Antipas Lissu.

Aidha amemtaka Rais wa Jamhuriwa ya Muunganowa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli akomeshe uhalifu huo.
Huku aman ipo apambane na hali yake
 
Mwenyekiti wa wabunge wa Canada katika Bunge la Jumuiya ya Madola, Yasmin Ratansi ameshtushwa kusikia jaribio la mauaji ya Tundu Lissu ambae ni Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Rais wa chama cha wanasheria nchini.

Amemtaka Rais Magufuli kumaliza uhalifu huo nchini Tanzania.

Mhhhhh mbona hajachukua hatua pale Nigeria,, boko haramu inayosumbua vile, au Nijeria hawako chini ya Jumuia ya madola
 
Nchi yetu inachafuka kimataifa,,,wakati wa KIKWETE ilikuwa inang'aa kimataifa aisee,,,hatukuwai kusikia upuuzi kama unaotokea sasa wa watu kutekana na kuuana oovyo
 
Mwenyekiti wa wabunge wa Canada katika Bunge la Jumuiya ya Madola, Yasmin Ratansi ameshtushwa kusikia jaribio la mauaji ya Tundu Lissu ambae ni Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Rais wa chama cha wanasheria nchini.

Amemtaka Rais Magufuli kumaliza uhalifu huo nchini Tanzania.

unabeep au...
 
Yaani yale tuliyoyakemea sisi kipindi kile nchi yetu ikiwa na Rais ndio sasa tunakemewa sisi. Kuna mahali tumepotea na tunatia aibu duniani.
 
Back
Top Bottom