Pole zao kwani hawakujua kuwa Chadema ni waongo waongo ndiyo maana Kawe Mawakala waligoma kuingia vituoni bila kupewa advance matokeo yake Malalamiko FC wakaanza kusema eti wamezuiwa kuingia vituoni wakati kumbe walikuwa hawajalipwa posho zao na Mdee.Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii).
Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona. Siku moja kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nilikuwa Mwanza.
Na nisewe wazi nilijumuika na wana mwanza kwenye kushauriana kupata viongozi bora. Upepo wa John Pambalu ambaye alikuwa anagombea jimbo la nyamagana haukuwa mbaya sana, ila ndio kama tunavyojua mambo ya uchaguzi yalivyo.
Lakini kubwa zaidi lililonisikitisha ni hili la mawakala kutokupata pesa zao baada ya uchaguzi hapa nazungumzia kwa wale ambao nina ushahidi nao, huko kwingine sijui.
John Pambalu nakuomba upokee simu za hawa mawakala na umalizane nao, uwalipe pesa zao maisha yaendelee. Hili jambo linataka kukutia doa, kwa kuwa wapo waliopanga kwenda kulalamika kwa waandishi wa habari.
Lakini pia unaweza puuzia hili jambo na kukanusha na watu wa mitandaoni wakakuelewa, ila wale vijana utawaumiza sana mioyoni mwao kwa kuwa ukweli unaujua.
Ninakuomba sana kwa unyenyekevu mkubwa watafute umalizane nao, najua kwenye kampeni umetumia pesa nyingi lakini jitahidi kuongea nao na kumalizana nao kwa kuwa wale wana ndugu, jamaa na marafiki na wakisikia habari hizi unaweza kupoteza credibility uliyonayo.
Kwa nini nimekuja humu sababu hata simu zao hutaki kupokea na wakipiga kwa katibu wanaishia kuzungushwa tu wanaambiwa warudi kwako, leo ni siku ya 6 na bado muafaka wa pesa zao haujapatikana.
Nawasilisha
Jibu hoja kuna mawakala wanadai haki zao!! Sasa mlikuwa mnasema mnasera ya haki mbona mmeshindwa kuwatendea haki hawa mawakala?Mleta mada ya Pambalu hayakuhusu. Fanya yako
Ndiyo tatizo lenu wanasaccos wenzako wanadai haki zao wewe unaleta utopolo.Napokuona mnafiki ni pale unaposema upepo wa Pambalu "haukuwa mbaya sana" unajaribu kumshusha aonekane alishindwa kihalali, wakati ukweli km uchaguzi ungekuwa huru na haki Pambalu angeshinda kwa kura nyingi sana.
Halafu unakuja na malalamiko feki hapa kumchafua kwanini usimtafute huko jimboni au hamjui anapoishi?! wacha uchawi.
Hawa jamaa ni matapeli Sana,wapo kwaajili ya kujinufaisha wakati huohuo wakijaribu kujinasibisha kwa wananchi kama watetea haki. KIKUNDI kama hiki hakipaswi kuaminika kabisa.Hawa sio ndio wale mawakala walioahidiwa malipo yao yatakua teuzi
Na wao wakaamini kabisa wangekuja kuteuliwa ukurugenzi, ukuu wa wilaya na mikoa🤣🤣🤣🤣
Ila chadema Mungu anawaona na ndio maana wakapata malipo yao tarehe 28
Vipi haya malalamiko hujayapeleka kwa Beberu Robert Amsterdam? Kama hujafanya hivyo fanya hivyo mkuu Amsterdam ataandika barua ya malalamiko kwenda UN na Jumuia za Kimataifa kuwa huu uchaguzi haukuwa huru na haki!!! Haiwezekani Mawakala wa Saccos ya Chadema wasilipwe posho zao halafu uchaguzi uwe huru na haki!!Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii).
Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona. Siku moja kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nilikuwa Mwanza.
Na nisewe wazi nilijumuika na wana mwanza kwenye kushauriana kupata viongozi bora. Upepo wa John Pambalu ambaye alikuwa anagombea jimbo la nyamagana haukuwa mbaya sana, ila ndio kama tunavyojua mambo ya uchaguzi yalivyo.
Lakini kubwa zaidi lililonisikitisha ni hili la mawakala kutokupata pesa zao baada ya uchaguzi hapa nazungumzia kwa wale ambao nina ushahidi nao, huko kwingine sijui.
John Pambalu nakuomba upokee simu za hawa mawakala na umalizane nao, uwalipe pesa zao maisha yaendelee. Hili jambo linataka kukutia doa, kwa kuwa wapo waliopanga kwenda kulalamika kwa waandishi wa habari.
Lakini pia unaweza puuzia hili jambo na kukanusha na watu wa mitandaoni wakakuelewa, ila wale vijana utawaumiza sana mioyoni mwao kwa kuwa ukweli unaujua.
Ninakuomba sana kwa unyenyekevu mkubwa watafute umalizane nao, najua kwenye kampeni umetumia pesa nyingi lakini jitahidi kuongea nao na kumalizana nao kwa kuwa wale wana ndugu, jamaa na marafiki na wakisikia habari hizi unaweza kupoteza credibility uliyonayo.
Kwa nini nimekuja humu sababu hata simu zao hutaki kupokea na wakipiga kwa katibu wanaishia kuzungushwa tu wanaambiwa warudi kwako, leo ni siku ya 6 na bado muafaka wa pesa zao haujapatikana.
Nawasilisha
Hawa jamaa ni matapeli Sana,wapo kwaajili ya kujinufaisha wakati huohuo wakijaribu kujinasibisha kwa wananchi kama watetea haki. KIKUNDI kama hiki hakipaswi kuaminika kabisa.
Vipi haya malalamiko hujayapeleka kwa Beberu Robert Amsterdam? Kama hujafanya hivyo fanya hivyo mkuu Amsterdam ataandika barua ya malalamiko kwenda UN na Jumuia za Kimataifa kuwa huu uchaguzi haukuwa huru na haki!!! Haiwezekani Mawakala wa Saccos ya Chadema wasilipwe posho zao halafu uchaguzi uwe huru na haki!!
Mtafuteni Katibu mkuu John Mnyika ndie anashughulikia masuala ya malipo ya mawakala wa CHADEMA, huyo kijana mnamuonea bure
Jibu hoja kuna mawakala wanadai haki zao!! Sasa mlikuwa mnasema mnasera ya haki mbona mmeshindwa kuwatendea haki hawa mawakala?
Umeambiwa hapokeii simuHuna namba ya Pambalu?