GE2025 Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM: Hapa nchini unaambiwa ili utoboe unahitajika uwe na kadi ya chama fulani ili uwe karibu na mifumo

GE2025 Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM: Hapa nchini unaambiwa ili utoboe unahitajika uwe na kadi ya chama fulani ili uwe karibu na mifumo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM Antony Severine alisema:

"Kama vyama vinaunganishwa na vijana kupitia ilani, ni dhahiri vijana ndio wanaoathirika na ilani za vyama hii imenikumba hata mimi, ambapo unaambiwa ili utoboe unahitajika uwe na chama fulani ama kadi ya chama fulani ili uwe karibu na mifumo"

Back
Top Bottom