GE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Maneno tumepita bila kupingwa yanaweza kuwa sumu kupunguza kura za Chama chetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo kupitia mkutano wa hadhara

‎Katika mkutano huo Faris alionyesha masikitiko yake kwa baadhi ya wagombea Ubunge na Udiwani kupitia CCM kusema nimepita bila kupigwa na hivyo kuwataka wateule hao kufanya mikutano ya kampeni na kutafuta kura za kishindo za mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, wabunge na Madiwani wote wa CCM

Soma pia
 
Kuna vitu vinachekesha sana na kukera!
🤣🤣🤣
 
Dhamira zinawasuta sana CCM kwa uhuni wao waliofanya ndio maana wanamwaga mchele.
 
Back
Top Bottom