Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka huu kwa kuhamasisha kujitokekeza kuchukua fomu nafasi za Udiwani na Ubunge.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kilosa, Mwenyekiti wa Umoja huo Juma Senkubo amesema Vijana wanapaswa kushikamana na kutiana nguvu kuhakisha mambo yanakwenda vilivyo na kuwataka kujitokeza kuwania nafasi za mbalimbali ili kupeperusha Bendera ya CCM.