Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za CCM mjini Dodoma, Mwanyemba ametoa wito kwa vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali zilizotangazwa na chama hicho, akisisitiza kuwa ni wakati wa vijana kushiriki kikamilifu katika uongozi na maamuzi ya kisiasa nchini.