Mwenyekiti / Spika bungeni anapogawa "maksi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti / Spika bungeni anapogawa "maksi"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAKAH, Jul 12, 2011.

 1. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nijuzeni jamani ni sawa / halali spika au mwenyekiti kutoa " maksi" kwa mtoa swali au mtoa jibu katika mijadala ya bungeni. Mfano hasante kwa swali zuri sana au sawasawa hasante kwa jibu zuri au tafadhali jibu kiusahihi n.k. Je muuliza swali atajibuje au mtoa jibu ata- react vipi. Spika ni hakimu au ni refa. Msaada tafadhali.
   
Loading...