Mwenyekiti Simba SC jiuzulu

Mwenyekiti Simba SC jiuzulu

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Kwa matokeo ya Simba SC toka kuanza kwa ligi ni sababu tosha kwa mwenyekiti wetu kuachia ngazi,ila kama alingia katika uongozi kwa maslahi binafsi basi ushauri huu utakuwa mgumu sana kuutekeleza.Sababu viongozi wa staili hiyo hutumia pesa nyingi kupata uongozi,pale wanapoupata cha kwanza uangalia matumbo yao.

Naamini mwenyekiti wetu sio miongoni mwa viongozi waliopata madaraka kwa rushwa,na yupo simba kwa maslahi binafsi.

Naamini apatapo ushauri huu basi atakuwa tayari kuachia ngazi ili wengine waongoze sababu anaitakia mema Simba ila kwa bahati mbaya ameshindwa kazi.

Huu ni wakati sahihi kwako kuachia ngazi,husingoje Simba igawanyike makundi makundi au kushinikizwa itakuchakufua sana.

SIMBA DAIMA.. SIMBA OYEEEE

ngazi,nasi
 
Kwa matokeo ya simba sc toka kuanza kwa ligi ni sababu tosha kwa mwenyekiti wetu kuachia ngazi,ila kama alingia katika uongozi kwa maslai binafsi basi ushauri huu utakuwa mgumu sana kuutekeleza.sababu viongozi wa staili hiyo hutumia pesa nyingi kupata uongozi,pale wanapoupata chakwanza uangalia matumbo yao.

Naamini mwenyekiti wetu simiongoni mwaviongozi waliopata madaraka kwa rushwa,na yupo simba kwa maslai binafsi.Naamini apatapo ushauri huu basi atakuwa tayari kuachia ngazi.ili wengine waongoze sababu anaitakia mema simba ila
kwa bahati mbaya ameshindwa kazi.
Huu ni wakati sahii wawewe kuachia ngazi,husingoje simba igawanyike makundi makundi,au kushindikizwa.itakuchakufua sana.

SIMBA DAIMA.. SIMBA OYEEEE

ngazi,nasi

Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!
 
tatizo sio mw'kiti tatizo simba wanakariri phiri ni bonge la kocha, hana jipya tayari material zimekwisha kichwani na yote ni laana ya kinadeni na julio waliowafukuza kama mbwa na bado ngoma inogile..!!
 

Kuachia ngazi kwa hiari kwa viongozi katika nchi hii ni ndoto hata kama wameonesha kushindwa.

Issue ni kuwashinikiza tu la sivyo mtasubiri Sana.
 
huyu phiri si ameishusha daraja timu ya watu huko zambia,ngoja aishushe na simba aweke rekodi nyingine
 
Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!

Naongezea Pia IMEWAHI KUIFUNGA YANGA MAGOLI 5 KWA SIFURI.
 
Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!

Inapoelekea mtaanza kuchapana bakora tano tano.....
 
Yule namba tano mwenye jina lenye herufi tano (Owino) na kipa wenu mwenye jina lenye herufi tano (Peter) na yule mwingine Elius
 
hivi mwenyekiti wa Simba = Rais wa Simba?
 
Yule namba tano mwenye jina lenye herufi tano (Owino) na kipa wenu mwenye jina lenye herufi tano (Peter) na yule mwingine Elius

Hata AVEVA lina herufi 5 nadhani ni masharti ya mganga wao ipo siku yatakaa sawa.
 
Tatizo lenu wana Simba ni fikra zenu mgando ambazo kwenu league ni kuifunga yanga tu, take a league as a wholly not hole
 
images (9).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom