Duniahadaa JF-Expert Member Oct 16, 2017 336 677 Nov 1, 2019 #1 Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 59,041 103,473 Nov 1, 2019 #3 Hilo linaeleweka, halafu viongozi wanaoingia madarakani kwa kuchezea box la kura ndio wanajifanya watapambana na rushwa!
Hilo linaeleweka, halafu viongozi wanaoingia madarakani kwa kuchezea box la kura ndio wanajifanya watapambana na rushwa!
Alexander The Great JF-Expert Member Aug 28, 2018 4,502 23,582 Nov 1, 2019 #4 CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".
CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".
Kawe Alumni JF-Expert Member Mar 20, 2019 8,685 11,988 Nov 1, 2019 #5 Hueleweki mkuu tulia uandike vizuri
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,797 Nov 1, 2019 #6 Duniahadaa said: Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika" Click to expand... Wee nani amekuambia... Basi tutaweka askari wetu wa jeshi watavaa kiraia wasimamie wao
Duniahadaa said: Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika" Click to expand... Wee nani amekuambia... Basi tutaweka askari wetu wa jeshi watavaa kiraia wasimamie wao
nditolo JF-Expert Member Jul 2, 2011 3,609 4,097 Aug 11, 2020 #8 Haya Alexander The Great said: CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. View attachment 1250561View attachment 1250562 Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA". Click to expand... Haya yanatokea Tanzania ipi? Mtu anakutishia kwa bastola au anakupiga panga mpaka unajeruhiwa hivi unamwachaje kwa mfano. Nenda kalipe kisasi fyeka mpaka familia yake yote mapaka bibi yake na kaburi la ndugu yake choma moto
Haya Alexander The Great said: CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga. View attachment 1250561View attachment 1250562 Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA". Click to expand... Haya yanatokea Tanzania ipi? Mtu anakutishia kwa bastola au anakupiga panga mpaka unajeruhiwa hivi unamwachaje kwa mfano. Nenda kalipe kisasi fyeka mpaka familia yake yote mapaka bibi yake na kaburi la ndugu yake choma moto