GE2025 Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Jamii imeanza kumuona Askofu Gwajima kama Mpuuzi Fulani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akiwa katika Kipindi cha mahojiano cha Medani za Siasa akijibu swali la Mwandishi wa Habari Edwin Odemba ikimtaka atoe maoni yake kuhusiana na Hoja na kauli za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima akidai kuwa Kanisa la Ufufuo na Uzima halikupaswa kufungwa kwani mwenye kosa ni yeye na si Kanisa

Fadhili Maganya alieleza kuwa Makanisa yanaanzishwa kwa mujibu wa sheria za nchi na mwenye Mamlaka ya kutoa kibali au kusajili ndiye mwenye Mamlaka kufungia kibali

Pia amesema kuwa hakuna anachokosoa Askofu Gwajima licha ya kutoa siku kumi kuwa Makanisa yake yasipofunguliwa nchi itatikisika hivyo jamii imeanza kumuona kama Mpuuzi fulani kwa kauli zake

Wewe Maganya ndiye mpumbavu kabisa tena taahira mkubwa wewe.
 
Vipi sasa jamii ikiamua kumuona yeye ndiyo mpuuzi!
 
Back
Top Bottom