PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tarime ataka Martha Karua apitishwe Sirari ili wampe mimba sababu wanaume wa Kenya wameshindwa kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?

Pia soma
 
View attachment 3346449

Pia soma
Duh! Kweli CCM mpo hovyo wakuu, Dah!
 
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?
View attachment 3346449

Pia soma
AIBU KWA NCHI IMEKUAJE WANATUACHIA UCHAFU WAO HADHARANI KIPINDI HIKI
 
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?
View attachment 3346449

Pia soma
Hizi hoja zinazidi kutupa tu ushahidi kuwa ni kweli Agather alibakwa ambalo ni kosa la Jinai la Kimataifa

Haya maneno yanazidi kutupa uahahidi kuwa Serikali ya CCM na vyombo vyake vinateka, kupoteza na kuharass wanaotofautiana nao.

Nashukuru sana wanavyozidi kuropoka maana inazidi kujenga ushahidi mzuri sana wa kuwashtaki na kuwafunga hawa watu ICC
 
Waache kaka ili mashahidi wawe wengi na natamani waendelee kujitokeza kwa wingi
 
Huyo Mwenyekiti amlete kwanza Mama yake hapa Kajiado Wamfanyie hiyo kitu halafu ALINGANISHE
 
Hivi vichwa na hizo akili ndo vituletee maendeleo???Tutasubiri miaka 2000 mingine.
Watu wanawaza kwenda mwezini sisi tunaongelea kupeana mimba
 
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?
View attachment 3346449

Pia soma
Hivi hata hajui hatuna visa application A.M kabla ya safari😂
 
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?
View attachment 3346449

Pia soma
Sasa mkirudishiwa kibao hapo mtasema wakenya wanatukana, na kibao watakachorudisha kitagonga juu kabisa. Tumieni diplomasia
 
Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea.

Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa.

Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku deal na hili jambo?
View attachment 3346449

Pia soma
Ni Aibu kwa kiongozi kuongea maneno ya namna hiyo kwenye hadhira! Kutweza utu wa mtu...what if kesho na keshokutwa mtajwa akawa Kiongozi mashuhuri Africa. Ataficha wapi uso wake?
 
Back
Top Bottom