Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
ninatazama Emmanuel tv hapa nimemuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Jesca Msambatavangu akiwa kwenye ibada katika kanisa la The Synagogue Church of All Nations linaloongozwa na Prophet T.B Joshua