kwann HECHE tuuu...vijana wenye uwezo wako wengi,namjua vizuri HECHE uwezo wake katika kujenga hoja ni mdogo sana.. Nafkiri watu kama MAWAZO,MILLYA,HENRY KILEO wangesaidia sana..kama wangepewa nafasi.
kamanda heche chapa kazi tunajua mazingira yako ya kisiasa ni magumu sana lakini chapa kazi vijana tuone maana kuna watu hata ndani ya cdm huwa tunawakariri wakifurahi kuona viongozi wengine ukiwemo wewe hufanikiwi ila sisi vijana tuna imani sana na wewe