Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same


Eti Chama cha msimu! Kwa heri kilango
 
Tunawasubiri na huku Iramba. Majimbo yako wazi kabisa.
 
Hongera james kwa juhudi zako pamoja na uongozi wa jimbo kufanikisha ziara hiyo .msisahau kata za mlimani.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Kwa hiyo kutokana na ubongo wako....Harakati za ukombozi na utoaji elimu ya uraia na utambuzi si Kazi.? Kwako wewe kazi ni kukata utepe tu..?Anyway sikushangai maana hata hapa Dar zamani kulikuwa na usemi kwamba "UNA KAZI KWANI WEWE NI M....?"
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Unamwambia nani hapa....kwa sababu hao wanachama wa CHADEMA wanafanya mikutano ambayo ndio kazi yao...kwani hao wameajiriwa na chama.
Mikutano wanafanya jioni muda ambao watu wengi wametoka makazini...na sijaona sehemu wanayohamasisha watu kuacha kazi.
Kuna watu wanatazama mpira kila siku jioni ligi mbalimbali ina maana hawafanyi kazi?
Think as a human being!
 
Sawa SJ piten kila uchochoro msake hao nyoka wenyewe magamba goigoi ili wasiwepo tena kwenye majimbo walokuwepo, juhumu zako zisambae TZ yote.
 
Simon nimeupenda sana uzalendo wako kwa wilaya ya same.Mimi ni mdau mkubwa wa siasa za same na nafahamu vema kwamba maeneo mengi ya miliman ndiyo yaliyobaki ktk harakati za ukombozi.mpeleke bw Heche maeneo yote ya miliman mtapata ushindi mkubwa kamanda.
 
Sante kwa ushauri
 
Mpeleke bw Heche mamba,bombo,lugulu,bwambo,kirangare,vunta,vugwama,suji,mbaga,vudee,chome,gavao na sehemu nyingine kwa sababu maeneo ya tambarare kazi imeisha.big up!
 
Mh! Ukiona hadi kiongozi wa ka-jumuiya ndani ya chama cha siasa ziara zake zinakuwa na mwitikio mkubwa hadi huko vijijini kweli tumefika patamu. Hivi Beno na Shigela vipi?
 

kwenye mikutano ya cdm watu huwa wanapewa taarifa tu. Hamasa wanayo mioyoni mwao.
 
Kwani hiyo siyo kazi ni nini? au hujui kazi ya siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…