Mwenyeji aliye Mgeni!.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,118
Kwa wale wanajukwaa pendwa la international forum, Jamii Intelligence na chumbani account yangu imesumbua nasubiria msaada wa moderators kuirudisha but wakishindwa kunirudishia nitakuwa kwenye hii ID so wick haipo hewani but kwa mijadala yetu mnitagg kwa hii ya sasa!..
Kinachouma sitaweza ingia Jamii Intelligence, Dini/imani na Chumbani but please moderators kama mnaonna thread nirudisheni huko! wick
and this ID are the same.

cc: Malcom Lumumba zitto junior Elungata Da'Vinci hearly
 
Ulikuwa nazo mbili!? Nimeangalia hii ni ya Wayback 2012
 
Huyu ni mwenyeji kote kote.
Huwa najiuliza kwa nini mtu anakuwa na ID nyingi afu za kificho kificho?
Hisia zangu huwa ni 1. Kazi maalum 2. Mtu asiyemwaminifu 3. Mtu asiye na msimamo..anaona aibu kuumbuliwa akishafata upepo wa bendera.
 
Ni hisia zako ambazo zaweza kuwa sawa au zikawa sio sawa pia!..
Kama uficho hata wewe unatumia Id isiyo ya kweli inategemea "kificho ficho" tunaielezeaje pia!.
Lakini kukusaidia niliwaomba moderators zamani sana waunganishe iwe Id moja tu, lakini hawajawahi fanyia kazi ombi langu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom