Ooh ok poa poa. Wanachongaga funguo hao wa showroom awe makini (kidding though nlishaskia)Kaamua nunua showroom ashanunua mkuu tnx
Sasa mkuu unazingatia namba badala ya ubora na muonekano gari ? OK sawa subiri waje wajuwaji wakusaidieKuna jamaa yangu anahitaji xtrail namba D yenye hali safi na bei reasonable.
Kama yupo namuomba inbox
Nisani x-trail simshauri kabisa kwanza lubricants zake original ni gharama sana.. pia na spea zake genuine ni gharama kichiz.. Pia engine zake zina mtindo wa kutanuka with time baada ya muda kubadilisha engine block ni kugusa tuu..Kuna jamaa yangu anahitaji xtrail namba D yenye hali safi na bei reasonable.
Kama yupo namuomba inbox
Watu mnakariri tu mkuu yani watanzania tunaishi kwa kukariri, mfano ushasema spare zake ni genuine halafu ghali sa we wataka fake halafu cheap? Fuata matunzo ya gari weka vimiminika sahihi, service on time, mafuta safi uone ka italeta shidaNisani x-trail simshauri kabisa kwanza lubricants zake original ni gharama sana.. pia na spea zake genuine ni gharama kichiz.. Pia engine zake zina mtindo wa kutanuka with time baada ya muda kubadilisha engine block ni kugusa tuu..
aisee, bongo nyosooriginal ni gharama sana
Ndo maana nimekuambia gharama .. ina maana nalinganisha na magari mengine kama ya toyota ambazo spare na lubricants genuine sio ghari..Watu mnakariri tu mkuu yani watanzania tunaishi kwa kukariri, mfano ushasema spare zake ni genuine halafu ghali sa we wataka fake halafu cheap? Fuata matunzo ya gari weka vimiminika sahihi, service on time, mafuta safi uone ka italeta shida
kuna tofauti kubwa kati ya samsung tv OG na Star X
Siku zote siyo kwa xtrail tu magari ya Nissan spare na vimiminika vyake gharama coz ni genuine vifaa vyake havichakachuliwa. Ni bora umiliki genuine ili uwe na hakika na kile unachoweka na ukiweka umeweka japo ni ghali kitadumu wa fake ashabadiri mara tatu na wewe ndipo wabadiriNdo maana nimekuambia gharama .. ina maana nalinganisha na magari mengine kama ya toyota ambazo spare na lubricants genuine sio ghari..
Mfano tu mkuu mm nimeshamiliki xtrail iv unajua hydraulic fluid yake genuine ya gearbox ya NISSAN MATIC- FLUID J lita moja tu inauzwa sh ngap??