Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
Nlikuwa nauskia tu redion.Weka picha iwe rahisi kuujua
Fungua sasa redio uusikie.Nlikuwa nauskia tu redion.
Aya bhana.Fungua sasa redio uusikie.
Redio gani hiyo na mimi niusikilizeAya bhana.
Acha utani kwenye uhitaji aisee. Huo wimbo nataman hata msanii alieimba tu.Redio gani hiyo na mimi niusikilize
Umeanza kutamani hadi na msaniiAcha utani kwenye uhitaji aisee. Huo wimbo nataman hata msanii alieimba tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf wacha tu iitwe ivo.Umeanza kutamani hadi na msanii
[emoji381] [emoji382] [emoji134]Umeanza kutamani hadi na msanii
Nadhani unazungumzia wimbo wa msanii JITI kutoka mwanza unaitwa ndoto kamshirikisha waziri sonyoKuna wimbo wa zaman kdogo bongo flava na baadhi ya maneno yanaimbwa hvi: "Ndoto haruf mbaya imetawala mwilini, napita mito na mabonde,, ni safari ndefu inayo chukua miaka mingi... Nisaidiem wimbo was nani na ameimba nani.
Hapana siyo wenyewe.Nadhani unazungumzia wimbo wa msanii JITI kutoka mwanza unaitwa ndoto kamshirikisha waziri sonyo
SimjuiNani aliyeuimba?