Mwenye uzoefu na toyota primio new model

Mwenye uzoefu na toyota primio new model

MAHONDA AGY

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
6
Reaction score
0
​

Habari za Mchana
ninaomba msaada kwa anaefahamu vizuri kuhusu toyota primio nwe model nataka kununua sema naogopa kukurupuka vitu muhimu ninavyopenda kujua ni
Ulaji wa Mafuta as ina 1790cc

Uzuri wa ndani na comfortability yake​

Ninaweza kwenda nayo mkoan bila shida Arusha

CIF ni USD 4000 je ni andae bei gan kulipai mpaka iwe barabarani mambo ya ushuru nakadhalika

naombeni msaada wenu jamani kama kuna lingine si vibaya kuliongeza mchana mwema ndugu zangu​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom