Mwenye uzoefu na toyota primio new model

Mwenye uzoefu na toyota primio new model

MAHONDA AGY

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari za Mchana
ninaomba msaada kwa anaefahamu vizuri kuhusu toyota primio nwe model nataka kununua sema naogopa kukurupuka vitu muhimu ninavyopenda kujua ni
Ulaji wa Mafuta as ina 1790cc

Uzuri wa ndani na comfortability yake​

Ninaweza kwenda nayo mkoan bila shida Arusha

CIF ni USD 4000 je ni andae bei gan kulipai mpaka iwe barabarani mambo ya ushuru nakadhalika

naombeni msaada wenu jamani kama kuna lingine si vibaya kuliongeza mchana mwema ndugu zangu
 
Kuhusu ulaji wa mafuta mzee usiogope 1790 cc ni ya kawaida sana. Average yake ikiwa mpya itakuwa kilometa 12 au 13 kwa lita moja. Ni bora ukanunua gari comfortable ambayo inatofautiana ulaji kilometa 2 au 3 na gari inayokula kidogo lakini comfortability ni zero. Kwanini ujibane kwenye kivitz/starlet kwa kukwepa tofauti ya kilometa 2? Afterall ulaji wa mafuta unategemea zaidi misele unayopiga humu mjini. Kama mtu wa misele ya kufa mtu tafuta tu vistarlet.

Kuhusu gharama za kuimport, ingia kwenye website ya TRA kuna calculator kwa ajili ya kujua how much it will cost you to import a car. Ukishindwa kuielewa niPIM nikutumie kwenye email yako excel sheet ambayo utafeed values tu ujue gharama zote kwa magari ya aina (ujazo wa injini - cc) tofauti na bei tofauti.
 
mkuu asante kwa ushauri poa ivyo ndo inavyotakiwa kushauriana kaka hiyo calculator ya TRA huwa siisomi vizuri inachanganya bhana SUPERSTAR
 
mkuu asante kwa ushauri poa ivyo ndo inavyotakiwa kushauriana kaka hiyo calculator ya TRA huwa siisomi vizuri inachanganya bhana SUPERSTAR

Eleza ni ya mwaka gani upatiwe hesabu.
 
Kama itakuwa ya mwaka 2000-2003 bei ya ushuru ni kama hapa chini:
Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io)
Aged 11 years and more Aged 8 to 10 years
Current Retail Selling Price 24,203 Current Retail Selling Price
Depreciation 80% Depreciation
Freight Freight
Customs value 2,500 Customs value -
FOB Value 2,500 FOB Value -
Import Duty 25% 625 Import Duty 25% -
Excise Base for vehicle aged more than 10 years 938 Excise Base for vehicle aged more than 10 years -
Excise Base 3,125 Excise Base -
Excise Duty 5% 156 Excise Duty 5% -
VAT Base 4,219 VAT Base -
VAT 18% 759 VAT 18% -
Total Taxes 2,479 Total Taxes -
Total Taxes in TSHs 4,215,949 Total Taxes in TSHs -
 
Kama itakuwa ya mwaka 2000-2003 bei ya ushuru ni kama hapa chini: -
Total Taxes in TSHs 4,215,949 Total Taxes in TSHs -

Mkuu Hapa aongeze gharama zifuatazo:
  1. Port Charges
  2. Clearing & Forwading
  3. Insurance baada ya kutoka bandarini
Wengi huwa wanasahau vitu hivi. Kwa kukadiria makadirio ya chini, vitu vyote hapo juu vinaweza kugharimu 1,500,000/=, ukijumlisha na 4,215,949/= pamoja na CIF $4000 = 7,120,000/= so inakuja karibu 13,000,000/=.
 
Na ahakikishe invoice yake iwe less than 2500. Usd ama sivyo kodi itapanda.
 
Kaka MANI hapo sawa mkuu nisijeliacha gari likaozea bandarin bhana nafurahi kupata maelezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom