Mwenye Used Computer mwanza!

Mwenye Used Computer mwanza!

Chief Lugina

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
286
Reaction score
77
Plz kuna jamaa yangu yupo mwanza anatafuta used computer inayo range laki 3 hadi laki 3.5...specification kama ni Desktop: Hdd 120GB au above,Monitor Hp 17". Kama ni laptop iwe ni Hp/dell hata kama itakuwa na hard disk pungufu. But kama kuna m2 anayo naomba uniambie ili kama ulipo then jamaa aje kuchukua. Pia kama kuna maduka yanauza kwa bei hizo naomba unijulishe ili ni mwelekeze ni wapi.
 
mwambie aende pale brothers computer,mtaa wa lumumba wanazo cmptr nzuri sana used
 
Back
Top Bottom