Mwenye usafiri binafsi kwenda Morogoro

Mwenye usafiri binafsi kwenda Morogoro

gikea

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
17
Reaction score
12
Kama ambavyo tunafahamu adha ya USAFIRI kipindi hichi cha sikukuu .

Naomba mwenye USAFIRI binafsi kesho KWENDA kutoka Dar es salaam kwenda morogoro ,anipe lifti nipo na wife ,nitachangia hela ya mafuta kama nauli YANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo tunafahamu adha ya USAFIRI kipindi hichi cha sikukuu .

Naomba mwenye USAFIRI binafsi kesho KWENDA morogoro ,anipe lifti nipo na wife ,nitachangia hela ya mafuta kama nauli YANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahi hapa stendi ya mkoa singida saa 12:00 asubuhi naelekea moro
 
Kama ambavyo tunafahamu adha ya USAFIRI kipindi hichi cha sikukuu .

Naomba mwenye USAFIRI binafsi kesho KWENDA morogoro ,anipe lifti nipo na wife ,nitachangia hela ya mafuta kama nauli YANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imebaki safasi moja swahiba, viti vya nyuma ntakuwa nimebeba mazagazaga; kama utaridhia basi mwache shemeji nitangulie nae, atapata nafasi ya kiti cha mbele kushoto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka picha ya mkeo hapa ili tujue tunakusaidiaje.
 
Kama ambavyo tunafahamu adha ya USAFIRI kipindi hichi cha sikukuu .

Naomba mwenye USAFIRI binafsi kesho KWENDA kutoka Dar es salaam kwenda morogoro ,anipe lifti nipo na wife ,nitachangia hela ya mafuta kama nauli YANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini sana. Unaweza kumuuza wife wako kwa kupenda kitonga. Unless uwe na pesa za kutosha na gari lako (narudia tena, gari lako) umeamua kupack kwakuwa tyres ulizoaguza kutoka china hazijafika. Usishangae siku moja aliyewapa lifti akafika kwak kumsalimu mkeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaomba lift na uko na wife. Ukifika Ubena jamaa atakuomba ukanunue maji ya kunywa. Kitendo cha wewe kutoka na kwenda kununua maji jamaa atakua keshaomba namba ya simu. Na lazima uendee wewe maji maana muombaji lazima atumwe
 
Back
Top Bottom