Mwenye Updates za JICA

TRACEY INNO

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
31
Reaction score
7
Jamani hawa wajapani mbona sasa sielewi? Walisema kabla ya tarehe 28/3 tutukuwa tumejua mchakato mzima. Mimi naona siku zinasonga, watu wanagonga usaili pale ni wa nini? Mbona kizungumkuti.

Help...:loco:
 
Me naona usubiri tu hiyo tarehe 28. Kama kimya usivunjike moyo.
 
subiri trh 28, but ONLY SHORTLISTED candidates will be contacted!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…