Mwenye Updates na TCAA

Mwenye Updates na TCAA

DoctorFykon

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Wana forum vipi kuhusu Waloomba post za kusomeshwa na TCAA Air Traffic Management Officer vipi updates yeyote deadline ilikuwa tarehe 19 march mpaka leo kimya.
 
mkuu humu ndani inaonekana upo mwenyew, watu wapo busy na uhamiaji na pccb plus tpdc.....
 
Bado hawajaita watu. Hta me niliapply. Ngoja tusikilizie
 
Back
Top Bottom