MAJANGA NIACHE
Member
- Feb 21, 2012
- 95
- 6
still bado kuna long list bro
Hi, wanajamii foru hamujambo mm nawapeni hi tu wadau,
hatuzisikii incentives zao maana tumeziba masikiona mnasikia sikiaje kuhusu salary na incentives zao jamani?
\still bado kuna long list bro
Huyo ni shemejiye HR manager wa GGM anayefahamika kama "FIVE"\wewe nani kakwambia ?au na wewe unatakakujifanya shemejio anafanya kazi GGM
Huyo ni shemejiye HR manager wa GGM anayefahamika kama "FIVE"
Huyo Mghana alishamwaga manyanga siku nyingi tu, ila alituachia vigari tunaoshea mitaa ya Geita.Karibun sana kwa bwn Five na kwa wale ma-bi-Dada hasa walioko kwny Acc/Finance kuna mtu anaitwa Ankamah(mGhana) anawapenda sana na lazma hawa-employ(re-marry) kwenye Idara Yake]
Huyo Mghana alishamwaga manyanga siku nyingi tu, ila alituachia vigari tunaoshea mitaa ya Geita.