mwenye ukaribu na maeneo haya

mwenye ukaribu na maeneo haya

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,761
Reaction score
3,510
Wana jamvi nilikuwa napenda kupata myu mwenye ukaribu na maeneo haya
1.Muhimbili hospital
2.Mnazi mmoja hospital
3.Mwananyamala
4.Hospital yoyote kubwa iwe ya serikali au binafsi
Nilikuwa na shida na watu wenye ukaribu na maeneo hayo haswa akiwa mlinzi au muhudumu wa hapo au mtu yoyote mwenye fursa ya kuingia maeneo hayo tuwasiliane nina shida muhimu
 
Sawa
 
nabashiri ''bila shaka umeagizwa na mganga bidhaa za mortuary! si useme tu usaidiwe unaogopa nini sasa washirikina bn!"
mkuu fundi kubomoa sio hivyo bwana sio mambo ya kishirikina
 
Back
Top Bottom