Jayll7 Senior Member Joined May 20, 2014 Posts 170 Reaction score 21 Jun 18, 2014 #1 Wadau naomba mnijuze naweza pata wapi solar panel zenye uwezo wa ku-manage kuwasha taa zaid ya 2 afu na kutumia kwa kucharg simu na kuwasha anagalau redio. Na bei zake plz..
Wadau naomba mnijuze naweza pata wapi solar panel zenye uwezo wa ku-manage kuwasha taa zaid ya 2 afu na kutumia kwa kucharg simu na kuwasha anagalau redio. Na bei zake plz..