vp kwa iphone 5..??i phone 4 icloud inatoka ila itabidi uwe na tools kama 4 hivi
vp kwa iphone 5..??
iphone 5,5s,6 na 6 plus zinatoka kama hazijawa reported..but kama zimeripotiwa hazitoki asilan..na bei yake ndefu kutoa
Kuanzia 4s hadi 6+ haiwezekani kutoa labda unadili motherboard ambapo bei ni sawa na kununua nyingine
vp kwa iphone 5..??
mimi nakwambia kama haijawa reported inatoka..màana nina ushahidi na ninachokisema...ww kama upo nayo haijawa reported(blacklisted)bas niambie nikupeleke ikatolewe
Haijawa reported wapi mkuu?
4s kwenda juu simu ikikwama kwenye activation lock unapotakiwa kuweka Apple Id hakuna kitu unaweza kufanya so far
Prove me wrong mkuu
I stand to be corrected!!!!!!
unajuaje kama simu imekua reported au lah,,?ni vipi kaka ninachojua mm kuna icloud ile mtu cm imepotea au imeibiwa so akaamua kushukuru mungu...hio ndio nasema mm so ile account yake inaweza kutolewa..ila ile cm imepotea/kuibiwa then mwenye cm akaenda kwenye find my iphone then akaireport kama imeibiwa/imepotea..so hio ndio inakua issue kutoka/kwa ufup haitoki kabisa
ni vipi kaka ninachojua mm kuna icloud ile mtu cm imepotea au imeibiwa so akaamua kushukuru mungu...hio ndio nasema mm so ile account yake inaweza kutolewa..ila ile cm imepotea/kuibiwa then mwenye cm akaenda kwenye find my iphone then akaireport kama imeibiwa/imepotea..so hio ndio inakua issue kutoka/kwa ufup haitoki kabisa
Kivipi mkuu
Hebu jenga hata nadharia tu au provide a link kuonyesha inawezekana
Nijuavyo mimi haiwezekana zaidi ya scammer waliojaa online
unajuaje kama simu imekua reported au lah,,?
hizo cm zinatoka..ila unalipia euro kama 120..mm rafk yng aliuziwa cm mbili hapa znz cjui kam walipigwa wazungu au vp ila zimetoka lock..kuna fund mmoja anaitwa david ni maarufu yupo hapa znz anatoa vzr tuu..kama una mwenyeji huko mwambie nimpeleke ofcn kwake..na kasema kama kuna cm ina iclod account lakin haijawa reported nimpelekee
hizo cm zinatoka..ila unalipia euro kama 120..mm rafk yng aliuziwa cm mbili hapa znz cjui kam walipigwa wazungu au vp ila zimetoka lock..kuna fund mmoja anaitwa david ni maarufu yupo hapa znz anatoa vzr tuu..kama una mwenyeji huko mwambie nimpeleke ofcn kwake..na kasema kama kuna cm ina iclod account lakin haijawa reported nimpelekee
Kama haiko reported inatoka, ikishakuwa reported SAHAU!